![]() ![]() A hundred hearts would be too few, to carry all my love for you.You have this incredible way of making my heart happy.Every time I look at your smile at me, I find my way home. Every time I see into your eyes I feel at ease. Do you know why I love you? because every time I hear your voice i feel safe.I want to hold you close to me and feel our hearts beat as one forever.Leaving you is the best thing I have ever done in my life. I would use my last breath to tell you that. If i had to choose whether to breathe or to love you.If I could describe you in one word, Id call you life.just wanted to say good morning to the one.Mara nyingine nashanga kama kupigia mapenzi ina thamani.Kukupenda wewe, sijui vile ilifanyika, ile najua kuwa ilikuwa kitu bora sana kinifanyikia.Njia inayokupeleka kwa mapenzi ni njia nyembamba ambaye wawili hawawezi kupitia lakini mkiwa moja inawezekana.Nimekupenda maisha yangu yote, imechukua muda mrefu kukupata wewe.Hatima imetuleta sisi pamoja lakini ni moyo wangu ndio inataka sisi tuwe pamoja milele. ![]() Kile ninachotaka maisha yangu nikukupenda na kuishi maisha yangu kukufurahisha.Mimi ninakupenda wewe kwa kila mdundo wa moyo wangu. ![]() Nilikuwa nataka kusema habari za asubuhi kwa mtu ninaempenda sana.I don’t know what I would do without you.Pendo lako ni sawa sawa Na dhahabu ya upendo pembezoni mwa bustani ya uaminifu, ujasiri Na uvumilivu katika maisha yeti ya kimapenzi.Kuoa mwanamke mzuri sio kazi, kazi ni kumtunza mke wako aendele Kuwait mzuri kama ulivyo mtoa kwao.Mapenzi ni hisia zinazoumiza lakini hazichoshi.Wivu moyoni mwangu unaunguluma, kwasababu uko mbali nahisi naibiwa, usipo pokea simu yangu nahisi kunajambazi.Upendo si undege ukaonekana angani, upendo si tundra lichumwalo mtini, upendo si wimbo ningekuimbia, upendo si vazi ningekushonea, upendo si picha yangu ningekutumia Bali upendo ni thamani ukitoka moyoni mwangu nakuepnda Na kukutakia usiku mwema.Macho yangu hutamani kukuona mdomo mwangu hutamani kuku busu mikono yangu hutamani kukutoa ipo mbali nami Ila mwili mwangu upo kwaajili yako mpenzi.Nifananishe Na nini? Kukata mfano wako hatotokea amini… Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani ucheshi Na mahaba yako.Umengia moyoni mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana, wajua moyo huwa unafungunguliwa mara Moja hasa kwa Ile true love. Natamani kusema I love you Kila unapokuwa Na mimi. ![]() Chini yako kuna neno 50 za mpenzi ya mbali. Unaweza pia kijutungia maneno kama hizi kwani si ngumu. Lakini usife moyo kwani tuna maneno kadha ya kuonyehsa kweli unajali mtu huyu. Hasua kama hufanyi hivyo inaweza kuwa kosa usillolijua. Ikiwa unampenzi aliyembali na wewe ni muhimu umwandikie ilil aone kana kwamba unamjali sana kaitka maisha yako. Karibu sana katika kursasa yetu ya middemb ambapo leo utayaona maneno 50 za mapenzi ya mbali. ![]()
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |